Application Closed! The application for this course is closed.
This Course Start at: Dec 15, 2025
, End at Dec 19, 2025
at DODOMA
for 5 Days
| Name |
Utunzaji wa Kumbukumbu/Nyaraka na Udhibiti wa Siri Katika Taasisi za Serikali |
| Target Groups |
Maafisa Waendesha Ofisi, Watunza kumbukumbu, Wasaidizi wa Ofisi Madereva na Maafisa wa Mapokezi
|
| Description |
Training on records management and maintaining confidentiality in government institutions. |
| Fee |
650000 |
| Coordinator |
Eliaman Lukumay
Email: eliamani.lukumay@tpsc.go.tz
Phone: +255764073177
|
| Objectives |
- Kuelewa umuhimu wa kutunza kumbukumbu, nyaraka kwa kuzingatia siri katika utumishi wa umma na athari za kuvujisha siri za ofisi.
- Kufahamu aina za siri kwa kuzingatia rangi za majalada na namna ya kuzitunza.
- Kufahamu uifadhi wa funguo za ofisi kwa usalama wa Taasisi.
- Kutambua mazingira ya kitaasisi na tabia binafsi zinavyopelekea utoaji wa siri za Taasisi na namna ya kuvihepuke.
- Kutambua Sheria, Kanuni na miongozo inayoelekeza juu ya Utunzaji wa siri, na kufahamu adhabu za kisheria.
|
| Topics |
- Maana ya Kumbukumbu na Siri
- Misingi ya Kisheria ya Utuzaji wa Kumbukumbu na nyaraka
- Umuhimu wa kumbukumbu na nyaraka
- Aina za kumbukumbu kwa kuzingatia unyeti wa Taarifa na mbinu za kuzihifadhi
- Mawasiliano ya Kiofisi kwa kuzingatia siri za ofisi
- Sababu za Utunzaji wa siri katika ofisi za umma
- Sheria, Kanuni na Miongozo ya Utunzaji siri na adhabu zake
- Utuzaji wa funguo za ofisi ili kudumisha usiri wa ofisi
- Mazingira ya Kitaasisi na tabia binafsi zianzopelekea utoaji wa siri na namna ya kuviepuka
- Mbinu za kutunza siri katika teknolojia mpya (TEHAMA) na vifaa vyake
|