Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
President's Office - Public Service Management and Good Governance

Tanzania Public Service College(TPSC)

LATRA Logo

This Course Start at: Dec 29, 2025 , End at Jan 2, 2026 at DODOMA for 5 Days

Course Details
Name Stadi za Uandaaji wa Vikao, Uandishi wa Ripoti/Kumbukumbu za Vikao, pamoja na Taratibu za Mawasiliano Serikalini
Target Groups Watumishi wanaohusika na uandaaji wa vikao mbalimbali katika ofisi za serikali
Description Training on meeting preparation skills, report/meeting minutes writing, and government communication procedures.
Fee 650000
Coordinator Dickson Katabazi
Email: dickson.mutalemwa@tpsc.go.tz   Phone: +255712484004
Objectives
  1. Kujifunza mbinu za kuandaa vikao vya kiofisi ipasavyo.
  2. Kujifunza kuandika mihutasari ya kikao na kuiwasilisha.
  3. Kujifunza kuandaa yatokanayo na kumbukumbu za vikao vya kiofisi.
  4. Kufuatilia utekelezaji wa yatokanayo na vikao vya kiofisi.
  5. Kujifunza kuandaa taarifa mbalimbali za kofisi.
  6. Kufuata taratibu, kanuni na sheria za mawasiliano serikalini.
Topics
  1. Dhana ya vikao, ripoti na mawasiliano serikalini.
  2. Uandishi wa mihutasari ya vikao vya kiofisi.
  3. Uandaaji wa yatokanayo na vikao vya kiofisi.
  4. Dhana ya mawasiliano makini.
  5. Taratibu sahihi za mawasiliano serikalini.
  6. Mwongozo wa uandishi wa nyaraka mbalimbali serikalini wa kanuni za kudumu katika utumishi wa umma Toleo la Mwaka 2009.