Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
President's Office - Public Service Management and Good Governance

Tanzania Public Service College(TPSC)

LATRA Logo
Application Closed! The application for this course is closed.

This Course Start at: Dec 15, 2025 , End at Dec 19, 0025 at DODOMA for 0 Days

Course Details
Name Utunzaji wa Kumbukumbu/Nyaraka na Udhibiti wa Siri Katika Taasisi za Serikali
Target Groups Maafisa Waendesha Ofisi, Watunza kumbukumbu, Wasaidizi wa Ofisi Madereva na Maafisa wa Mapokezi
Description Training on records management and maintaining confidentiality in government institutions.
Fee 650000
Coordinator Eliaman Lukumay
Email: eliamani.lukumay@tpsc.go.tz   Phone: +255764073177
Objectives
  1. Kuelewa umuhimu wa kutunza kumbukumbu, nyaraka kwa kuzingatia siri katika utumishi wa umma na athari za kuvujisha siri za ofisi.
  2. Kufahamu aina za siri kwa kuzingatia rangi za majalada na namna ya kuzitunza.
  3. Kufahamu uifadhi wa funguo za ofisi kwa usalama wa Taasisi.
  4. Kutambua mazingira ya kitaasisi na tabia binafsi zinavyopelekea utoaji wa siri za Taasisi na namna ya kuvihepuke.
  5. Kutambua Sheria, Kanuni na miongozo inayoelekeza juu ya Utunzaji wa siri, na kufahamu adhabu za kisheria.
Topics
  1. Maana ya Kumbukumbu na Siri
  2. Misingi ya Kisheria ya Utuzaji wa Kumbukumbu na nyaraka
  3. Umuhimu wa kumbukumbu na nyaraka
  4. Aina za kumbukumbu kwa kuzingatia unyeti wa Taarifa na mbinu za kuzihifadhi
  5. Mawasiliano ya Kiofisi kwa kuzingatia siri za ofisi
  6. Sababu za Utunzaji wa siri katika ofisi za umma
  7. Sheria, Kanuni na Miongozo ya Utunzaji siri na adhabu zake
  8. Utuzaji wa funguo za ofisi ili kudumisha usiri wa ofisi
  9. Mazingira ya Kitaasisi na tabia binafsi zianzopelekea utoaji wa siri na namna ya kuviepuka
  10. Mbinu za kutunza siri katika teknolojia mpya (TEHAMA) na vifaa vyake