Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
President's Office - Public Service Management and Good Governance

Tanzania Public Service College(TPSC)

LATRA Logo

This Course Start at: Dec 7, 2026 , End at Dec 11, 2026 at DODOMA for 5 Days

Course Details
Name Mafunzo ya menejimenti na itifaki za vikao na mikutano kwa Makatibu wa Kamati wa Halmashauri
Target Groups Council Clerks
Description
Fee 750000
Coordinator Yuda Kyara
Email: yuda.kyara@tpsc.go.tz   Phone: +255785700685
Objectives
  1. Kuelewa majukumu na wajibu wa makatibu wa vikao vya halmashauri.
  2. Kupanga na kusimamia vikao vya halmashauri kwa ufanisi.
  3. Kuandaa ajenda, arifa, na nyaraka za vikao kwa muundo wa kitaaluma.
  4. Kuandika mihutasari ya vikao kwa usahihi na kwa kufuata kanuni za kisheria.
  5. Kufuatilia maamuzi na hatua zilizopangwa na bodi au kamati.
  6. Kuhakikisha usiri, uadilifu, na uwajibikaji katika usimamizi wa vikao.