Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
President's Office - Public Service Management and Good Governance

Tanzania Public Service College(TPSC)

LATRA Logo

This Course Start at: Dec 14, 2026 , End at Dec 18, 2026 at MTWARA for 5 Days

Course Details
Name Mafunzo mahususi kwa Wapokezi, Wasaidizi wa Ofisi na Walinzi wa Taasisi za Umma
Target Groups Office Assistants, Receptionists
Description
Fee 650000
Coordinator John Nzunda
Email: john.nzunda2@tpsc.go.tz   Phone: +255742927947
Objectives
  1. Kuelewa majukumu na wajibu wa wapokezi, wasaidizi wa ofisi, na walinzi katika taasisi za umma.
  2. Kutoa huduma bora kwa wageni na wateja kwa njia ya kitaaluma.
  3. Kuimarisha ujuzi wa mawasiliano ya mdomo na maandishi.
  4. Kutumia itifaki na adabu katika mazingira ya ofisi.
  5. Kukuza ulinzi wa majengo na usalama wa taasisi za umma.