Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
President's Office - Public Service Management and Good Governance

Tanzania Public Service College(TPSC)

LATRA Logo

This Course Start at: Dec 14, 2026 , End at Dec 18, 2026 at DAR ES SALAAM for 5 Days

Course Details
Name Stadi na Itifaki za Uandaaji wa Vikao, Uandishi wa Mihutasari na Uandikaji wa Ripoti za Vikao
Target Groups Council Clerks, Meeting Secretaries, Human Resource Professionals
Description
Fee 750000
Coordinator Hosea George
Email: hosea.njovangwa@tpsc.go.tz   Phone: +255693223676
Objectives
  1. Kupanga na kusimamia vikao kwa ufanisi na kwa kufuata itifaki stadi.
  2. Kuandika mihutasari ya vikao kwa usahihi na kwa muundo wa kitaaluma.
  3. Kuandika ripoti za vikao na kufuatilia maamuzi na hatua zilizopangwa.
  4. Kutumia lugha ya kiofisi na muundo sahihi wa maandishi ya vikao.
  5. Kukuza stadi za mawasiliano na ufanisi katika majukumu ya ukatibu.
  6. Kuhakikisha usiri, uadilifu, na uwajibikaji katika usimamizi wa vikao.