Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
President's Office - Public Service Management and Good Governance

Tanzania Public Service College(TPSC)

LATRA Logo

This Course Start at: Apr 27, 2026 , End at May 1, 2026 at TANGA for 5 Days

Course Details
Name Mafunzo Maalumu kwa Watendaji wa Vijiji, Mtaa na Kata
Target Groups Watendaji wa Vijiji, Mtaa na Kata
Description Specialized training for village, street, and ward administrators.
Fee 650000
Coordinator Moses Kihunsi
Email: moses.kiunsi@tpsc.go.tz   Phone: +255713629626
Objectives
  1. Kuelewa kanuni za uongozi na utawala bora.
  2. Kujua haki, majukumu, na wajibu wa watendaji wa kata.
  3. Kuelewa maadili ya utumishi wa umma.
  4. Kupata ujuzi wa utunzaji wa siri na nyaraka za serikali.
  5. Kujua sheria na kanuni za utumishi wa umma.
  6. Kuelewa itifaki za kiserikali.
  7. Kujifunza usimamizi wa miradi ya serikali.
  8. Kuelewa ukusanyaji wa mapato na usimamizi wa fedha za serikali.
Topics
  1. Dhana ya Uongozi na Utawala Bora
  2. Haki, Majukumu na Wajibu wa Watendaji wa Kata
  3. Maadili ya Utumishi wa Umma
  4. Utunzaji wa Siri na Nyaraka za Serikali
  5. Sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma
  6. Itifaki za Kiserikali
  7. Usimamizi wa Miradi ya Serikali
  8. Ukusanyaji wa Mapato na Usimamizi wa Fedha za Serikali