This Course Start at: Mar 2, 2026
, End at Mar 6, 2026
at DAR ES SALAAM
for 5 Days
| Name |
Mafunzo Maalumu kwa Wasaidizi wa Ofisi |
| Target Groups |
Wasaidizi wa ofisi katika taasisi za umma na walinzi
|
| Description |
Specialized training for office assistants. |
| Fee |
650000 |
| Coordinator |
Maclean Musyani
Email: musyani.lutaja@tpsc.go.tz
Phone: +255754496014
|
| Objectives |
- Kufahamu maadili katika utumishi wa umma.
- Kujifunza namna ya kutunza usiri na usalama wa taarifa na nyaraka za serikali.
- Kufahamu sheria na kanuni za utumishi wa umma.
- Kujifunza mbinu za kutoa huduma bora kwa wateja.
- Kufahamu umuhimu wa kutunza muda mahala pa kazi.
- Kujifunza mbinu za kuhimili msongo wa mawazo.
- Kujifunza mbinu na umuhimu wa kushirikiana mahala pa kazi.
- Kujifunza taratibu za mawasiliano mahala pa kazi.
|
| Topics |
- Maadili katika utumishi wa umma.
- Usiri na usalama wa taarifa na nyaraka za serikali.
- Sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma
- Huduma bora kwa mteja.
- Utunzaji sahihi wa muda mahala pa kazi.
- Kuhimili msongo wa Mawazo.
- Ushirikiano mahala pa kazi.
- Taratibu za mawasiliano mahala pa kazi.
|