This Course Start at: Mar 30, 2026
, End at Apr 3, 2026
at TABORA
for 5 Days
| Name |
Mafunzo Maalumu kwa Madiwani |
| Target Groups |
Madiwani na Wenyeviti wa Halmashauri / Meta
|
| Description |
Specialized training for councilors. |
| Fee |
650000 |
| Coordinator |
Brevius Rudovick
Email: brevius.rudovick@tpsc.go.tz
Phone: +255753098999
|
| Objectives |
- Kuelewa dhana ya uongozi na utawala bora.
- Kujua majukumu ya msingi ya madiwani.
- Kuelewa maadili ya utumishi wa umma.
- Kujua sheria na kanuni za utumishi wa umma.
- Kuelewa ukusanyaji wa mapato na usimamizi wa fedha za serikali.
- Kujifunza taratibu za manunuzi serikalini.
- Kuelewa usimamizi wa miradi ya halmashauri.
- Kupata ujuzi wa utunzaji wa siri na nyaraka za serikali.
- Kuelewa itifaki za kiserikali.
|
| Topics |
- Dhana ya Uongozi na Utawala Bora
- Majukumu ya Msingi ya Madiwani
- Maadili ya Utumishi wa Umma
- Sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma
- Ukusanyaji wa Mapato na Usimamizi wa Fedha za Serikali
- Taratibu ya Manunuzi Serikalini
- Usimamizi wa Miradi ya Halmashauri
- Utunzaji wa Siri na Nyaraka za Serikali
- Itifaki za Kiserikali
|